Chorus / Description :
Asifiwe Leo
[Praise Him today]
Asifiwe Sasa
[Praise Him now]
Asifiwe Hapa
[Praise Him Here]
Asifiwe
[Praise Him]
Vs 1
Anayefaa sifa na Utukufu
[He who deserves praise and glory]
Aliyevikwa na Utakatifu
[He who is covered in Holiness]
Ndiye Mungu Wetu
[Tha'ts our God]
Amejawa na Ukarimu
[He is full of generosity]
Tena Ye ni Tabibu
[He also is a healer]
Ndiye Mungu Wetu
[Tha'ts our God]
Mwenye fadhili na Rehema
[The kind and merciful one]
Baraka na Neema
[Blessings and grace]
Ndiye Mungu Wetu
[Tha'ts our God]
Chemi chemi ya Wema
[Fountain of goodness]
Mlinzi wangu mwema
[My protector]
(Chorus)
Asifiwe Leo
[Praise Him today]
Asifiwe Sasa
[Praise Him now]
Asifiwe Hapa
[Praise Him Here]
Asifiwe
[Praise Him]
Vs 2
Atutiaye Nguvu
[He who strengthens us]
Ashikiliaye Mbingu
[He upholds then heavens]
Ndiye Mungu Wetu
[Tha'ts our God]
Atulishaye Mbivu
[Feeds us with ripened fruit]
Katia mvua kwa Mawingu
[He puts rain in the clouds]
Ndiye Mungu Wetu
[Tha'ts our God]
Rafiki wa karibu
[A Close friend]
Nguvu zake Mdhaifu
[Strength for the weakened]
Ndiye Mungu Wetu
[Tha'ts our God]
Tegemeo Letu
[We depend on him]
Mungu Wa miungu
[God of gods]
Ndiye Mungu Wetu
[Tha'ts our God]
(Chorus)
Bridge
Milima yaruka kama ndama
[The hills skip like calfs]
Kwa uwepo wako
[At your presence]
Anga zaitangaza
[The heavens declare]
Kazi ya mikono yako
[The work of your hands]
Haulinganishwi
[You?re incomparable]
Haufananishwi
[Like no other]
Wewe wa pekee
[You are in a class by yourself]
Kwa zeze na Vinubi
[With the lyre and harp]
Kwa shangwe na nderemo
[With shouts and celebration]
Kwa vigelegele vigelegele vigelegele
[Ululations ululations ululations]
Kwa Kuimba Na kucheza
[With singing and dancing]
Tumshangilie Yesu
[Let?s celebrate Jesus]
Wapi vigelegele vigelegele vigelegele
[Where are the ululations ululations ululations]