Chorus / Description :
Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Anayependa yule (yule)
Anayeponya yule (yule)
Mungu ni yule yule
Nimesikia ukitajwa jina lako
Na kanisani waziimba sifa zako
Yasemekana wewe ni muweza yote
Hakuna jambo lolote likushindalo
Na shida zote (unatatua)
Magonjwa yote (wewe waponya)
Hata na wafu (wewe wafufua)
Nashangaa (aaah aaah) .
Wewe ni yule yule (yulele yule yule)
Wewe ni yule yule (yulele yule yule) .
Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Anayependa yule (yule)
Anayeponya yule (yule) .
Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Wamiujiza yule (yule)
Wamaajabu yule .
Wewe ni yule yule (yulele yule yule)
Baba wewe ni yule yule (yulele yule yule) .
Danieli asema kwamba ulifunga midomo ya simba
Wanaisraeli kala mkate toka mbinguni
Sarah naye Sarah akampata Isaka
Hakuna jambo lolote likushindalo
Na shida zote (unatatua)
Magonjwa yote (wewe waponya)
Hata na wafu (wewe wafufua)
Mimi Nashangaa (aaah aaah) .
Wewe ni yule yule (yulele yule yule)
Wewe ni yule yule (yulele yule yule) .
Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Anayependa yule (yule)
Anayeponya yule (yule) .
Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Mwenye baraka yule (yule)
Anayeponya yule (yule) .