Chorus / Description :
Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda
Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda
Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda
Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda (x4)
Chorus:
Ayayayayayaya ayayayayayaya
Anipenda nami nampenda (x2)
Verse 2:
Machozi yangu kayafuta
Mizigo niliyo ibeba kanitua
(Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda)
Msaada wa karibu, rafiki aliye majibu
Yesu Eeh, nwaminifu kila siku
(Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda)
Nilipoteseka dhambini kanihurumia (kanihurumia)
Kashuka toka mbinguni kaja kanihudumia (kanihudumia)
Kanitoa mavumbini, kaniketisha juu zaidi
Yesu Eeh, nampenda
Chorus:
Ayayayayayaya ayayayayayaya
Anipenda, nami nampenda (x4)
Bridge:
Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh...
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh) (x2)
Yeye anatupenda ayoyoyo aeeh...
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Yeye alitufia ayoyoyo aeeh...
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh...
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Yeye haibadiliki ayoyoyo aeeh...
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Ananitosha ayoyoyo aeeh...
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Ni mwaminifu ayoyoyo aeeh...
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Upendo kama wako (wololo)
Sitapata kwingine (wololo)
Ushindi kama wako (wololo)
Sitapata kwingine (wololo)
Neema kama yaka (wololo)
Sitapata kwingine (wololo)
Uzima kama wako (wololo)
Sitapata kwingine (wololo)
Vamp:
Anapasua njia
(pasipokuwa na njia aah)
Mito ya maji
(katikati ya jangwa eeh) x2
Yesu wangu pasua njia
(pasua njia aah)...
Kwa masomo yangu Baba
(Pasua njia)
Pasua njia
(Pasua njia aah)...
Kwa jamaii yangu Yesu
(Pasua njia)
Pasua Njia
(Pasua njia aah)...
kwa Kazi yangu Baba
(Pasua njia)
Pasua Njia
(Pasua njia)
Kwa huduma yangu Yesu
(Pasua njia)
Pasua njia, pasua
(pasua njia aah)...
Pasua Yesu pasua
(Pasua njia)
Muweza yote pasua
(pasua njia aah)...
Pasua njia, pasua
(pasua njia aah)...
Immanueli pasua
(pasua njia aah...pasua njia)