Chorus / Description :
Sifu oh , sifu oh
Sifu jina lake Yesu
Sifu oh , sifu oh
Sifu jina lake Yesu
Sifu oh , sifu oh
Sifu jina lake Yesu
Sifu oh , sifu oh
Sifu jina lake Yesu
Yeye ni Alpha na Omega
Pia nuru ya dunia
Basi njoo Basi njoo
Tumwabudu
He is an awesome God
He is a mighty God
He is an awesome God
He is a mighty God
So let us praise His name
So let us sing His praises
Sifu oh , sifu oh
Sifu jina lake Yesu
Sifu oh , sifu oh
Sifu jina lake Yesu
Inua inua, jina lake
Inua inua, jina lake
Yeye ni mkate wa uzima
Tena ni mwokozi wetu
Basi njoo Basi njoo
Tumwabudu
He is an awesome God (awesome God)
He is a mighty God (Mighty God)
He is an awesome God
He is a mighty God