Chorus / Description :
Sitasahau walionishikilia
Sitasahau walioniombea
Sitasahau ni Mungu amanitendea
Sitasahau uuh sahau
Owee Owee Owee
Nina imani, siku za mateso zitapita
Nina imani, siku ya kutoka ghetto itafika
Nitapata mabawa, nitapaa
Nyota itaangaza nitan'gaa
Ninayotamani moyoni nitapata
No no no no sitasahau
Sitasahau walionishikilia
Sitasahau walioniombea
Sitasahau ni Mungu amanitendea
Sitasahau uuh sahau
Nitashare share, iyo kidogo sitajiwekea
Sitalegea-gea, Kumshika mtu mkono
Nanikiitwa somewhere kusaidia
Hata kama sina fare nitatembea
Sitasahau walionishikilia
Sitasahau walioniombea
Sitasahau ni Mungu amanitendea
Sitasahau uuh sahau
Nitashare share, iyo kidogo sitajiwekea
Sitalegea-gea, Kumshika mtu mkono
Nanikiitwa somewhere kusaidia
Hata kama sina fare nitatembea