Tumekubalika Na Mungu Lyrics

Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme
Ametuchora kwenye moyoni wake
Utukuzao wa agano x2

Nguvu za uteule (aaaah)
Uhadhi wa kifalme
Taifa takatifu
Watu wa miliki ya Mungu

Nimemuona Mungu amewaleta kutoka misri
Kuwa na nguvu kama za kale
Watawavunja adui mifupa vipande vipande
Watawachoma adui kwa mishale

Eeeh bariki mali ya [?]
Mungu kabariki nani wa kuwapinga?
Wana nguvu aaah Mungu kawapa
Wanawaweza (aaaah) Bwana kawapa
Wanautishoa (aaaah) Bwana kawapa

Hatuwezi tishwa kwa maneno yao
Nguvu zetu zipo kwa Bwana
Tulipona kwa pharaoh
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa
Tukiwa hatuna kitu tulinusurika vita
Tukiwa hatuna silaha tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona [?]
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela
Tulishinda upweke tukiwa tumeachwa
Tuliponyoka kesi bila ya mtetezi

Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu
Waliotuonea ndio hawakujua
Watoto wa misri tuna nguvu
kama za nyati kuvunja vipande
yaa yaa yaa yaaah

Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme
Ametuchora kwenye moyoni wake
Utukuzao wa agano

Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme
Ametuchora kwenye moyoni wake
Utukuzao wa agano
...

Usiyelala (aaa-aah)

Tumekubalika Na Mungu VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Tumekubalika Na Mungu:

0 Comments/Reviews