Angel Benard - Siteketei, Siangamii

Chorus / Description : Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Hupimwi kwa siku,hupimwi kwa miaka,unatafsiri majira
Huzuiwii na muda,umejawa na nguvu ndio maana
nakuita baba moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri

Siteketei, Siangamii Lyrics

Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

Hupimwi kwa siku,hupimwi kwa miaka,unatafsiri majira
Huzuiwii na muda,umejawa na nguvu ndio maana
nakuita baba moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri
katika wewe hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako mi nasimama

Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

Nimezungukwa nawe kila pande hakuna jambo la kuniangamiza
majeshi yalo upande wangu ni mengi sana kuliko hao wa dunia
hatua zangu zaongozwa nawe siangamii siteketei
katika wewe ninasimama siteketei na ninajua ee ee

Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

Kwako bwana nasimama
Ndiwe mwamba ni salama
Kwako bwana nasimama eh eh
For they that believe in you we shall stand firm forever
Forever

Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

Siteketei, Siangamii Video

  • Song: Siteketei, Siangamii
  • Artist(s): Angel Benard

Share: