Siteketei

By Angel Benard

Lyrics

Mi siteketei siangamiii

Sigharikishwi upo nami

Mi siteketei siangamiii

Sigharikishwi upo nami


Hupimwi kwa siku, Hupimwi kwa miaka 

Unatafsiri majira, Huzuiwi na muda 

Umejawa na nguvu, Ndio maana nakuita Baba 

Moyoni mwangu, najawa sifa 

Na ujasiri katika wewe

Hakuna mlima wa kuniangusha 

Ndani yako ninasimama 


Mi siteketei siangamiii 

Sigharikishwi upo nami

Mi siteketei siangamiii 

Sigharikishwi upo nami


Nimezungukwa na we kila pande 

Hakuna jambo la kuniangamiza 

Majeshi, yalo upande wangu 

Ni mengi sana kulika hawa wa dunia 

Hatua zangu zaongozwa nawe 

Siangamii, siteketei 

Katika wewe, ninasimama 

Siteketei, na ninadumu 


Mi siteketei siangamiii 

Sigharikishwi upo nami

Mi siteketei siangamiii 

Sigharikishwi upo nami


Kwako bwana nasimama

Ndiwe mwamba ni salama

Kwako bwana nasimama eh eh eh

For they that believe in you

We shall stand firm forever forever


Mi siteketei siangamiii 

Sigharikishwi upo nami

Mi siteketei siangamiii 

Sigharikishwi upo nami


Angel Benard - Siteketei (Official Video)