Chorus / Description :
Mungu nilinde nilinde
Mungu nilinde nilinde
For You are my protector
My defender
To you I surrender
For You are my defender
Mungu nilinde nilinde
Mungu nilinde nilinde
For You are my protector
My defender
To you I surrender
For You are my defender
Ni asubuhi na mapema kumekucha
Ndege angani wafurahi na kuimba
Ni asubuhi na mapema kumekucha
Ndege angani wafurahi
Ni siku njema Bwana amefanya
Niongoze popote niendapo
Bariki kazi ya mikono yangu
Ni siku njema bwana amefanya
Niongoze popote niendapo
Bariki kazi ya mikono yangu
Mungu nilinde nilinde
Mungu nilinde nilinde
For you are my protector
My defender
To you I surrender
For you are my defender
Macho yangu naelekeza kwako
Ninakutazama wewe najua
Kwako niko salama
Moyo wangu naelekeza kwako
Nakila kitu changu najua
Kwako niko salama
You are my protector
Siwezi kutengwa nalolote
My defender
Hakuna liwezalo nishinda
You are my protector
Siwezi kutengwa nalolote
My defender
Mungu nilinde nilinde
Mungu nilinde nilinde
For you are my protector
My defender
To you I surrender
For you are my defender
Mungu nilinde nilinde
Mungu nilinde nilinde
For you are my protector
My defender
To you I surrender
For you are my defender