Miracle Lyrics + Video

Mp3 Audio

oooo oooo oooo Am a Living,Walking Miracle

Verse
I am a Miracle
The living Miracle
The way you see me today
It's a Miracle
The way you see me today
It's a Miracle
When i wake up every morning
It's a miracle 
The way i sing today
It's a Miracle.

Pre chorus
I am a Miracle
Eeeh.

2nd verse
Nikikumbuka pale umenitoa
Magonjwa mengi uliyoniponya yale Mungu Umetenda ni MUUJIZA tu
Kuwa HAI
Umenipa AFYA nzuri
Na ninakuimbia ZABURI.

Baba ahsante kwa UZIMA ilionipa.
Nasema ahsante kwa FAMILIA yangu
kwenye MAGUMU yote uliyonipitisha

BABA AHSANTE NA KWA SAUTI NZURI,

Chorus
HIVI NILIVYO NILIPO
NILIVYO NI MUUJIZA.

Bridge
You live in me and I live in you
Am a child of God
Forever and ever
You never leave me
Nor Forsake me
Nakuabudu eeeh

NIMEUMBWA KWA MFANO WAKO
NALISIFU JINA LAKO 
NALIHIMIDI JINA LAKO
AHSANTE BWANA.
MIMI NI USHUHUDA BWANA
FADHILI ZAKO ZITANIFUATA
OOOO EEEE HIVI NILIVYO

Chorus
HIVI NILIVYO NILIPO
NILIVYO NI MUUJIZA.


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Miracle:

0 Comments/Reviews