Chorus / Description :
Way maker Miracle worker Promise Keeper
(Mtengeneza njia, mfanya miujiza, mtunza ahadi
Ndivyo ulivyo)
Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
You are here moving in our midst
I worship you, I worship You
Uko hapa umetuzingira
Nakuabudu nakuabudu
Mtengeneza njia, mfanya miujiza
Utunzaye ahadi, mwanga kwenye giza
way maker miracle worker promise keeper
Light in the darkness
Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki .
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana Kuliko Jana
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana Kuliko Jana .
You are here moving in our midst
I worship you, I worship You
Uko hapa umetuzingira
Nakuabudu nakuabudu
Mtengeneza njia, mfanya miujiza
Utunzaye ahadi, mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo
Mtengeneza njia, mfanya miujiza
Utunzaye ahadi, mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo .
You are here touching every heart
I worship you, I worship You
Uko hapa waponya wenye shida
Nakuabudu nakuabudu .
Jesus you love me to much ooh
Jesus you love me to much ooh
Jesus you love me to much ooh
Your love is strong, your love is strong
Nakusifu nakuabudu
Natukuza jina lako .
Mtengeneza njia, mfanya miujiza
Utunzaye ahadi, mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo .
Mtengeneza njia, mfanya miujiza
Utunzaye ahadi, mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo .
In your name we overcome
In your name there is victory .
The name of Jesus
Higher than all other names
King of all kings
No other name like his
Jina la Yesu
Kubwa kuliko yote
Mwanzo na mwisho
Hakuna kama yeye .
Mighty man of war, lion of Judah
We bow down and worship you
My beatifier you've taken away my shame
You've taken away my pain
You've made me just like you
I call your name Jesus
Call his name Jesus
Oooh-ooh Jesus
Anaitwa nani? Yesu
Mfalme wa wafalme, Yesu
Mponyaji,Yesu ,Oooh-oooh Yesu .
Jesus, Jesus oooh-ooh Jesus
Tagged songs Way Maker by Sinach, Kuliko Jana by Sauti Sol, My Beautifier Chris Shalom , Jimmy D Psalmist's Mighy Man of War, Excess Love by Mercy Chinwo
Behold, I will do a new thing; now shall it spring forth; shall ye not know it? I will even make a way in the wilderness, and rivers in the desert.
Thus saith Jehovah, who maketh a way in the sea, and a path in the mighty waters;