Chorus / Description :
Rhumba Gospel
Sikukuu imefika eeh
Mwaka mpya unafika eeh
Upite salama papa eeh
Sote sote tuwe papa mwana
Sikukuu imefika eeh
Mwaka mpya unafika eeh
Upite salama papa eeh
Sote sote tuwe papa mwana
Krismasi imefika eeh
Mwaka mpya umefika eeh
Ufike salama upite salama papa eh
Umalizike salama papa mwana wa ma
Tuombe Mungu kina Baba na kina mama
Tuombe Mungu kina dada na kina kaka eeh
Hata wapenzi wa nyimbo zetu papa
Wapenzi wa burudani tuwe salama salimini
Tuwe salama wana wa mama
Kuna wengine sasa wako hospitali
Kuna wengine tena wameshakufa ooh
Kuna wengine tena wako kifungoni
Waliobaki ooh Baba eeeh
Saidia masikini baba ooh
Saidia wengine papa eeh
Nawewe uliye mzima shukuru Mungu
Kumaliza mwaka siku hizi ni jasho
Kifo cha sasa kama bahati
Yatokapo yaendapo hayajulikani ooh
Mwana mama ooh
Tuombe Mungu daima baba eeh
Miaka yaenda mbio mwana mama
Siku zaenda mbio mama ah
...