Benachi - Mimi Mwanake

Chorus / Description : Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa,
Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa.

Mimi Mwanake Lyrics

Sawa, sawa aah Benachi
Usinione nimechakaa unitilie dharau
Mimi binadamu, umesahau?
Unaishi kwa dhamani,
Mimi naishi kwa imani
Mbele zako mimi sina haki,
Mbele zake mimi mwenye hadhi
Fahamu kuwa Mola ndiye aliniumba mimi na wewe,
Fahamu kuwa Mola ndiye aliniumba mimi na wewe.

Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa,
Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa.

Ulinipuuza mie, eti sifai kuwa nawe
Uliniona mie, eti hatia kula nawe
Sahani moja tupotiliwa chakula
Nyumba moja tulipofaa kuishi pamoja
Mimi mwanake, usiku nitalala, Mimi mwanake, usiku nitalala.
Mbele zake maulana, sote tuko sawa, Mbele zake maulana, sote tuko sawa.
Wema wake taji la upendo juu yangu
Ndani yake nilikuwa na uwoga wote uwe kimya

Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa,
Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa.

Ulinipuuza mie, ooh ooh
Sahani Moja ooh ooh ooh

Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa,
Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa.
Mimi mwanake, usiku nitalala, Mbele zake maulana, sote tuko sawa,

Mimi Mwanake Video

  • Song: Mimi Mwanake
  • Artist(s): Benachi

Share: