Chorus / Description :
Umenitosha umenitosha
Umenitosaha Baba
Umenitosha umenitosha
Umeutosha moyo wangu
Ninapolala naamka
Only You my God You sustain me
Mbele zako niko sawa
You make me stronger
Wanifaa wanitosha nakuenzi
Out of my declare* Lord
You've made me
Ukanifinyanga ukanijenga
Only you can fill my void
Only you can satisfy
Ony you a wanna praise
Ony you you make me stronger
Kinywa changu wacha nikuimbie eeh
Umenitosha umenitosha
Umenitosaha Baba
Umenitosha umenitosha
Umeutosha moyo wangu
Kwa damu umeniosha
Magonjwa umeyaponya
Mfariji kwenye giza nikitembea
Wewe ndiwe mwamba
Kwako ndio mwisho
Aiyayaa Daddy Daddy Ooh
Wewe tu you make my life so beautiful
Kwako nimekwama tabibu
You satisfy my life Lord
You satisfy my life Yesu we Yesu wewe
Umenitosha umenitosha
Umenitosaha Baba
Umenitosha umenitosha
Umeutosha moyo wangu
Turn my mourning into dancing
Niwewe tu you make my life so beautiful
Umenitosha umenitosha
Umenitosaha Baba
Umenitosha umenitosha
Umeutosha moyo wangu