Betty Bayo - Anabadilisha

Chorus / Description : anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
Mungu wangu anaweza
kubadili maisha yako
He can save your life
He can change yours today

Anabadilisha Lyrics

Mungu wangu anaweza
kubadili maisha yako
Mungu wangu anaweza
kubadili hiyo hali yako
Mungu wangu anaweza
kubadili maisha yako

unakoishi
unachokula
unakolala
Mungu wangu anaweza
anabadilisha

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

He can save your life
He can change your life
He can change everything
He's God, He's God
He can change your lifestyle
He can change your story
He can change everything
He's God, He's God

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

He can change your today
He can change your tomorrow
He can change everything
He is God, He is God
He can change your today
He can change your tomorrow
He can change everything
He is God, He is God

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

Yesu anaweza inua
kutoka mavumini
akuketishe na wafalme
panda yeye ni Mungu
amenitengeneza
ndio ninaimba tena
ndio maana ninaimba yeye
anabadilisha

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

@ Betty Bayo - Anabadilisha
#MakeAdifference

Anabadilisha Video

  • Song: Anabadilisha
  • Artist(s): Betty Bayo


Share: