Betty Bayo - Maneno ya kinywa changu

Chorus / Description : Maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana
Kazi ya mikono yangu
wacha ibarikiwe na wewe Bwana

Ninaponena juu ya maisha yangu
ninene ya baraka si kulaani
nimebarikiwa imeinuliwa
maana kunayo nguvu katika maneno ingawaje hali nilioko ni ya kuhuzunisha
na kuhangaisha nitabiri mema
tena mazuri maana kunayo nguvu
katika maneno

Maneno ya kinywa changu Lyrics

Maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana
maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana

Ninaponena juu ya maisha yangu
ninene ya baraka si kulaani.
Nimebarikiwa imeinuliwa maana kunayo nguvu katika maneno.
Ingawaje hali nilioko ni ya kuhuzunisha na kuhangaisha
nitabiri mema tena mazuri
maana kunayo nguvukatika maneno.

Maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana,
Maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana.

Kazi ya mikono yangu
wacha ibarikiwe na wewe Bwana
niamkapo na nilalapo
wacha nilindwe na wewe Bwana

Maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana,
Maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana.

Bwana naomba yote nisemayo
uwe umenipa ka yawe baraka
uimbaji wangu tawaliwe nawe
ninene yote yawe baraka

Maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana,
Maneno ya kinywa changu
wacha yatawaliwe na wewe Bwana.

Maneno ya kinywa changu Video

  • Song: Maneno ya kinywa changu
  • Artist(s): Betty Bayo


Share: