Johnson Kibali - Bila Wewe

Chorus / Description : Siwezi siwezi Bila wewe
Siwezi siwezi bila wewe
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie

Bila Wewe Lyrics

Nahitaji nguvu zako Bwana nisaidie 
Nahitaji neeema yako Bwana nisaidie 
Nahitaji mkono wako Bwana nisaidie 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 

Siwezi siwezi Bila wewe 
Siwezi bila wewe 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 

Wewe ndiwe mkuu wa majeshi 
Vita vyangu nakukabidii wewe 
Nipiganie kwa maana 
kwa nguvu zangu nitashindwa 
El-Shaddai wewe ndiwe Mungu wangu 

Siwezi siwezi Bila wewe 
Siwezi siwezi bila wewe 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 

Siwezi siwezi Bila wewe 
Siwezi siwezi bila wewe 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 
Nihitaji uwepo wako Yahweh nisaidie 

Bila Wewe Video

  • Song: Bila Wewe
  • Artist(s): Johnson Kibali


Share: