Chorus / Description :
Bora niwe Bawabu
Ndani ya nyumba yako
Kuliko kuondoka uweponi mwako
Uwepo wako ni mzuri Bwana Sitamani kuondoka Bwana Uwepo wako ni mzuri Bwana Sitamani kuondoka Bwana
Wewe Mungu ni mzuri sana Sitamani kuondoka Bwana
Bora niwe Bawabu
Ndani ya nyumba yako
Kuliko kuondoka uweponi mwako
Nje kuna wanyang'anyi Bwana
Kwako kuna amani Bwana
Nje kuna wanyang'anyi
Bwana Kwako kuna amani Bwana
Nimeliona jibu langu kwako
Sitamani kuondoka Bwana
Wewe Mungu unatosha sana
Wewe ndiwe kila kitu
Bora niwe Bawabu
Ndani ya nyumba yako
Kuliko kuondoka uweponi mwako
Translation Chorus:
I rather be a gatekeeper
At that presence Than to depart from thy presence