Chorus / Description :
Nani kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Tuulize milima inatetemeka kwa nani
Kama sio wewe Mungu wetu
Tuulize bahari inamuheshimu nani
Kama sio wewe Mungu wetu
Wanyama wa kutisha wanamuabudu nani
Kama sio wewe Mungu wetu
Sasa ni nani kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Bahari ya Shamu aliipasua nani
Kama sio wewe Mungu wetu
Kuta za Yeriko aliziingusha nani
Kama sio wewe Mungu wetu
Agusaye mioyo yetu kwa mguso wa ajabu
Kama sio wewe Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana
Nani ama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
(x4)
Hakuna kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana Mungu wetu
Hakuna kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana
Kama wewe Bwana Mungu wetu