Chorus / Description :
Nina njaa na uwepo wako
Nina kiu sanaa
Nautamani uwepo wako
Nina kiu sana
Kama ayala atamanivyo maji ya mto
Ndivyo nafsi yakuonea shauku
Nina njaa na uwepo wako
Nina kiu sanaa
Nautamani uwepo wako
Nina kiu sana
Kama ayala atamanivyo maji ya mto
Ndivyo nafsi yakuonea shauku
Nina njaa na uwepo wako
Nina kiu sanaa
Nautamani uwepo wako
Nina kiu sana
Kama ayala atamanivyo maji ya mto
Ndivyo nafsi yakuonea shauku
Natamani niwe kama wewe
Niwaze kama wewe
Niwachukulie wengine kama unavyowachukulia
Kila mwenye kiu aje wewe ni maji ya uzima
Nina kiu sanaa
Uliposema nitafute usoo
Moyo wangu ukasema Bwana uso wako nitaufuta
Ninatafuta tafuta uso wako
Ninakesha kanisana ninasoma Bibilia ninaomba
Nina kiu sanaa
Kama ayala atamanivyo maji ya mto
Ndivyo nafsi yakuonea shauku
Kama ayala atamanivyo maji ya mto
Ndivyo nafsi yakuonea shauku
Unijaze roho mtakatifu
Unijaze Bwana
Unijaze roho mtakatifu
Unijaze Bwana
Unijaze roho mtakatifu
Unijaze Bwana
Unijaze roho mtakatifu
Unijaze Bwana