Boaz Danken - Umeinuliwa

Chorus / Description : Kama vile Musa alivyoinua joka la shaba jangwani
Ndivyo Yesu aliyoinuliwa juu
Kila amuonaye asipotee awe na uzima wa milele
Umeinuliwa umeinuliwa

Umeinuliwa Lyrics

Umeinuliwa umeinuliwa 
Umeinuliwa umeinuliwa

Umeinuliwa umeinuliwa 
Umeinuliwa umeinuliwa

Kwa maana jinsi Mungu aliupenda ulimwengu 
Hata akamtoa mwanaye Yesu wa pekee 
Kila amuonaye asipotee awe na uzima wa milele

Kama vile Musa alivyoinua joka la shaba jangwani 
Ndivyo Yesu aliyoinuliwa juu
Kila amuonaye asipotee awe na uzima wa milele

Amekiponda kichwa cha adui 
Ameteka mateka angani 
Amemwaga kipawa kwa watu wake 

Umeinuliwa umeinuliwa 
Umeinuliwa umeinuliwa

Umeinuliwa umeinuliwa 
Umeinuliwa umeinuliwa

Nani alihesabu habari tulizoleea na mkono wa Bwana
Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani
Mtu wa huzuni nyingi ajuaye sikitiko 
Alikuja kwetu akafanyika mwanadamu 
Hivyo Mungu kamuadimisha 
Akamkirimia jina lipitalo majina yote 
Kwa jina la Yesu kila goti lipigwe
Na vitu vya mbinguni na duniani 
Na chini ya dunia kila ulimi ukiri 
Kuwa Yesu ni Bwana kwa utukufu wa Baba 

Umeinuliwa umeinuliwa 
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa 
Umeinuliwa umeinuliwa

Umeinuliwa Video

  • Song: Umeinuliwa
  • Artist(s): Boaz Danken
  • Album: Umeinuliwa - Single
  • Release Date: 06 Oct 2020
Umeinuliwa Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes
Umeinuliwa

Share: