Chorus / Description :
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee,
Kutapambazuka
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee, asubuhi yaja
Nimeona hofu imetanda dunia
Hofu imetanda dunia
Huku na huku mambo yamebadilika
Mambo ni tofauti
Tamaduni zetu si kama mwanzo
Si vile tulivyozoea
Aliye nacho analia,
Asiye nacho pia analia
Tajiri, masikini tumekuwa sawa
Si vile tulivyozoea
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee,
Kutapambazuka
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee, asubuhi yaja
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee,
Kutapambazuka
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee, asubuhi yaja
No situation is Permanent
Nyakati huja na kupita
Watu huja na kuondoka
Kila kitu chini ya jua kina mwisho
Shida na raha zina mwisho
Yesu pekee atabaki juu
Neno lake, milele yote
Yeye tu, hana mwisho
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee,
Kutapambazuka
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee, asubuhi yaja
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee,
Kutapambazuka
Hili nalo litapita ee, litapita ee
Hili litapita ee, asubuhi yaja