Christina Shusho - Mifupa Mikavu - Nakutabiria

Chorus / Description : Mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah
Hautakufa utaishi na kusimulia wema wa Bwana

Mifupa Mikavu - Nakutabiria Lyrics

Ezekieli akiwa katika roho, Bwana akamweka chini,
katika bonde nalo limejaa mifupa
Kamwambia Ezekieli je mifupa yaweza kuishi?
Naye akajibu eeh Bwana wajua wewe
Bwana akamwambia tabiri ju ya mifupa hii
Enyi mifupa lisikie neno la Bwana

Mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah
Mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah

Tabiri kwa uwepo na mwili
Roho wa Mungu aiweke dhahiri
Kwa wanadamu walio na *
Kwa Mungu aliye na jeshi moja shupavu
Kuna wengi wetu tunapambana ng'angana
Maisha yetu ngumu zaidi ya janga
***missing line ***
Position yetu in Christ more than victorious
Healthy, wealthy and righteous,
Maindiko inasema sisi waridhi wa ufalme
Hautakufa utaishi na kusimulia wema wa Bwana

Mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah
Mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah

Natabiri ju afya yako, natabiri ju ya kazi yako
Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
Natabiria ndoa yako, natabiria watoto wako
Vilivyo kufa viwe hai viwe hai tena
Hautakufa utaishi na usimulie mema ya Bwana
Vilivyo kufa viwe hai viwe hai tena

Mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah
Mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah
Mifupa mikavu nakutabiria Afrika
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah
Mifupa mikavu nakutabiria Tanzania
Kwa jina la Yesu uwe Hai Tena aah

Mifupa Mikavu - Nakutabiria Video

  • Song: Mifupa Mikavu - Nakutabiria
  • Artist(s): Christina Shusho


Share: