Hapo Mwanzo
Lyrics
Hapo mwanzo kulikwa na neno
naye neno alikuwa kwa mungu
na tena neno huyu alikuwa mungu
naye neno alifanyika mwili akaja
akakaa kwetu tukauona utukufu
wake mwana kondoo yohana
alimwona amevikwa vazi lilichovya
katika damu na jina lake lilikua mwana wa mungu
Christina Shusho - Hapo Mwanzo (Official Video) SMS [Skiza 5962569] to 811
Song Information
- Artist
- Christina Shusho
- Released
- March 28, 2021
- Genre / Category
- swahili
- Views
- 3,057