Christina Shusho - napenda nione

Chorus / Description : Napenda nione ukinitendea, Napenda nione ukinibariki
Napenda nione ukiniinua, Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda nione ukiniponya, Napenda nione ukinifariji
Napenda nione ukiniinua, Kila kitu kwako Bwana mimi napenda

napenda nione Lyrics

Napenda nione ukinitendea, Napenda nione ukinibariki

Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Yesu eeh Mimi napenda
Mambo yako nayapenda
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda

Napenda neno lako, Napenda Hekima zako
Napenda sifa zako Yesu, Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda hukumu zako, Napenda huruma zako
Napenda rehema zako, Kila kitokacho kwako mimi napenda

Napenda neno lako, Napenda Hekima zako
Napenda sifa zako Yesu, Kila kitokacho kwako napenda
Napenda hukumu zako, Napenda huruma zako
Napenda rehema zako, Kila kitokacho kwako mimi napenda

Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Mfalme nakupenda
Habari zako nazipenda
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda

Napenda utawala wako, Napenda ahadi zako
Napenda njia zako Yesu, Na mafundisho yako
Na ukarimu wako,

Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda

napenda nione Video

  • Song: napenda nione
  • Artist(s): Christina Shusho

Share: