Chorus / Description :
Umenifanya ning'are, Ooh Yesu
Umenifanya ning'are, Yesu wee Umenifanya ning'are, ninang'ara
Ah Damu ya Yesu imenifanya ning'are
Umenifanya ning'are, umenifanya ning'are Ooh Yesu
Umenifanya ning'are, Yesu wee, Umenifanya ning'are, ninang'ara
Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu mi nang'araa
Ndani ya hiyo nuru... eti kuna uzima
Ukiingia kwangu nina uzimaa...
Uso wake yesu, aliyesura yake mungu
Umeingia kwangu, mi nang'araa
Nuru wa injili, utukufu wake christo
Umeingia kwangu mi nang'araa
Umenifanya ning'are, umenifanya ning'are Ooh Yesu
Umenifanya ning'are, Yesu wee, Umenifanya ning'are, ninang'ara
Inuka uangazee, nuru yako imekuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wee
Mataifa watakujia, wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wee
Umenifanya ning'are, umenifanya ning'are Ooh Yesu
Umenifanya ning'are, Yesu wee, Umenifanya ning'are, ninang'ara