Chorus / Description :
Unikumbuke Baba
Unapowazuru wengine
Naomba unikumbuke
Unikumbuke Baba
unapowazuru wengine
naomba unikumbuke .
Usinipite YesuÂ
Unapowazuru wengine
Naomba unikumbuke .
Unikumbuke Baba
unapowazuru wengine
naomba unikumbuke .
Unikumbuke(unikumbuke)
unikumbuke (Unikumbuke)
Unapowazuru wengine
Naomba unikumbuke .
Unikumbuke translates to "Remember Me" in English