Christopher Mwahangila - Yesu Yuko Hapa

Chorus / Description : Namuona Yesu (Yuko hapa)
Oh Namuona Baba (Yuko hapa)
Namuona Yesu (Yuko hapa)
(Yuko hapa, Yuko hapa, Yuko hapa)

Yesu Yuko Hapa Lyrics

Yesu (Yuko hapa)
Yesu (Yuko hapa)
Yesu (Yuko hapa)
(Yuko hapa, Yuko hapa, Yuko hapa)

Namuona Yesu (Yuko hapa) 
Oh Namuona Baba (Yuko hapa)
Namuona Yesu (Yuko hapa) 
(Yuko hapa, Yuko hapa, Yuko hapa)

Oh Namuona Yesu (Yuko hapa) 
Ooh Namuona Mungu (Yuko hapa) 
Oooh Namuona Mungu wangu (Yuko hapa)
Namuona Baba namuona Yesu (Yuko hapa) 
(Yuko hapa, Yuko hapa, Yuko hapa)

Naziona nguvu zake (Yuko hapa) 
Nauona mkono wake (Yuko hapa) 
Nauona muujiza wake 
(Yuko hapa, Yuko hapa, Yuko hapa) 
...

Yesu Yuko Hapa Video

  • Song: Yesu Yuko Hapa
  • Artist(s): Christopher Mwahangila


Share: