Chorus / Description :
Tunahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitawahi weza bila wewe Yesu
Tunahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Tunahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitawahi weza bila wewe Yesu
Tunahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Tunahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitawahi weza bila wewe Yesu