Chorus / Description :
Umewazidi wote ulimwenguni kote
(You have surpased all in all the world)
Hakuna kama wewe
(No, there is none like You)
Mwema Mungu mwema
Maana fadhili zako za milele
Mwema Mungu mwema
Maana fadhili zako za milele
Mwema Mungu mwema
Maana fadhili zako za milele
Mwema Mungu mwema
Maana fadhili zako za milele
Umewazidi wote ulimwenguni kote
(You have surpased all in all the world)
Hakuna kama wewe
(No, there is none like You)
Umewazidi wote kwa nguvu uweza mamlaka Yesu
Hakuna kama wewe
Umewazidi wote ulimwenguni kote
Bwana hakuna kama wewe
Umewazidi wote ulimwenguni kote
Bwana hakuna kama wewe
(You can dance before the Lord ...)
Umewazidi wote ulimwenguni kote
Bwana hakuna kama wewe
Umewazidi wote ulimwenguni kote
Bwana hakuna kama wewe
Mwema Mungu mwema
Maana fadhili zako za milele
Mwema Mungu mwema
Maana fadhili zako za milele
Umewazidi wote ulimwenguni kote
(You have surpased all in all the world)
Bwana Hakuna kama wewe
(Lord there is none like You)