Dr Ipyana - Vinakamilika

Chorus / Description : Sijui ufunyalo, Sijui utendalo
Kila nachojua umeamrisha inakamilika

Vinakamilika Lyrics

?Sijui ufunyalo, Sijui utendalo 
Kila nachojua umeamrisha inakamilika 

Unaweza yote, unaweza yote 
Kila nachojua umeamrisha inakamilika 

Sijui ufunyalo, Sijui utendalo 
Kila nachojua umeamrisha inakamilika 

Sijui ufunyalo, sijui utendalo 
Kila nachojua umeamrisha inakamilika 

Vinakamilika Video

  • Song: Vinakamilika
  • Artist(s): Dr Ipyana
  • Album: Vinakamilika - Single
  • Release Date: 14 Nov 2020
Vinakamilika Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: