Edson Mwasabwite - Ni KWA NEEMA NA REHEMA

Chorus / Description : Ni kwa neema tu neema na rehema
Hapa nilipo mimi, ni kwa neema ya Mungu.
Vile nilivo Mimi ni kwa neema ya MUngu,
Nimetoka mbili toka mbali toka mbali Nimetoka Mbali,
Ainuliwe mungu wanguu juu, atukuzwe Mungu wangu juu,

Ni KWA NEEMA NA REHEMA Lyrics

Hapa nilipo mimi, ni kwa neema ya Mungu.
Vile nilivo Mimi ni kwa neema ya MUngu,
Nimetoka mbili toka mbali toka mbali Nimetoka Mbali,
Ainuliwe mungu wanguu juu, atukuzwe Mungu wangu juu,

Ni kwa neema tu, neema na rehema
Ni kwa neema tu, neema na rehema

Sio kitu rahisi, mtu anasaidia
Sikutegemea tegemea tegemea, sikutegemea aah
Sikutegemea tegemea tegemea, sikutegemea aah
Ainuliwe mungu wanguu juu, asifiwe Mungu wangu juu

Ni kwa neema tu, neema na rehema
Ni kwa neema tu, neema na rehema

Uzima ulio nao, umepewa na Mungu
Uhai ulio nao umepewa na Mungu
Uwezo ulio nao umepewa na Mungu
Mali ulizo nazo umepewa na Mungu
Hebu jiulize jiuli jiulize
Umetenda tendo gani njema
Hebu jiulize jiuli jiulize
Umefanya jambo gani njema
Asifiwe Mungu wangu ju atupaye hivi vyote

Ni kwa neema tu, neema na rehema
Ni kwa neema tu, neema na rehema
Tunaishi tunakula
Ni kwa neema tu,neema, na rehema
Mungu wetu anatujali
Ni kwa neema tu,neema, na rehema
...

Ni KWA NEEMA NA REHEMA Video

  • Song: Ni KWA NEEMA NA REHEMA
  • Artist(s): Edson Mwasabwite


Share: