Chorus / Description :
Uko hapa uko hapa
Uko hapa Bwana uko hapa
Bwana wa majeshi
Mungu muweza yote
Umejivika heshima na utukufu
Ufalme wako wadumu
Mamlaka yako ni kuu
Hakuna kama wewe Mungu wangu
Bwana wa majeshi
Mungu muweza yote
Umejivika heshima na utukufu
Ufalme wako wadumu
Mamlaka yako ni kuu
Hakuna kama wewe Mungu wangu
Bwana wa majeshi
Mungu muweza yote
Umejivika heshima na utukufu
Ufalme wako wadumu
Mamlaka yako ni kuu
Hakuna kama wewe Mungu wangu
Uko hapa uko hapa
Uko hapa uko hapa,
Uko hapa uko hapa
Uko hapa uko hapa.
Tawala na nguvu zako
Na nguvu zako na nguvu zako
Tawala na uweza wako
na uweza wako na uweza wako
Uinuliwe juu ninashuka chini
Utukuzwe, mikono yangu nainua
Sauti yangu naipaza
Mbele zako nashujudu kukuabudu
Ninashuka chini uinuliwe juu
ninashuka chini utukuzwe
Mikono yangu nainua
Sauti yangu naipaza
Mbele zako nashujudu kukuabudu
Uko hapa uko hapa
Uko hapa Bwana uko hapa