Chorus / Description :
We ni Mungu, We ni Mungu
We ni Mungu unastahili
We ni Mungu, We ni Mungu
We ni Mungu pokea sifa
Yesu twakuabudu Baba tunakupa sifa
(Yesu twakuabudu Baba tunakupa sifa )
Tupo tunakuabudu tupo tunakusifu
(Tupo tunakuabudu tupo tunakusifu)
We ni Mungu, We ni Mungu
We ni Mungu unastahili
We ni Mungu, We ni Mungu
We ni Mungu pokea sifa
(rudia toka juu)
Milele yote wastahili
Milele yote unatosha
Yesu twakuabudu Baba tunakupa sifa
(Yesu twakuabudu Baba tunakupa sifa )
Tupo tunakuabudu tupo tunakusifu
(Tupo tunakuabudu tupo tunakusifu)
We ni Mungu, We ni Mungu
We ni Mungu unastahili
We ni Mungu, We ni Mungu
We ni Mungu pokea sifa
Ladies:
Hale-Hale-Haleluya
Gents:
Hale-Hale-Haleluya
All:
Hale-Hale-Haleluya