Eunice Njeri - Bwana Yesu - Wewe Ndiwe Baba Yangu

Chorus / Description : Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Bwana Yesu, Bwana Yesu,
Kimbilio langu, ni wewe Baba
Tumaini langu, liko kwako Yaweh,
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe

Bwana Yesu - Wewe Ndiwe Baba Yangu Lyrics

Bwana Yesu, Bwana Yesu,
Kimbilio langu, ni wewe Baba
Tumaini langu, liko kwako Yaweh,
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe

Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Haleluya, Haleluya Baba
Oh ulinifia mwokozi wangu, dhambi zangu zote ukaziosha
Sijapata mwingine, dunia yote kama wewe yahweh
Sijapata mwingine, sijapata mwingine kama wewe Yahweh

Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Nakuinua, nakuinua
Milele milele,nitakuimbia
Kwa yale umenitendea Baba nakusifu
Milele Milele, milele daima Bwana wangu
Milele na milele, milele daima Bwana wangu we

Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Mbinguni na duniani tuimbe (Hakuna kama wewe)
Aliye filia dhambi zangu nasema (Hakuna kama wewe)
Mponyaji wangu ndiye Jehova rafa (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Ulimwengu wote tuimbe (Hakuna kama wewe)
Dunia yote tuseme tusemee (Hakuna kama wewe)
Nasema hakuna hakuna hakuna (Hakuna kama wewe)
Oh hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Oh hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna tuimbe (Hakuna kama wewe)
hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe

Bwana Yesu - Wewe Ndiwe Baba Yangu Video

  • Song: Bwana Yesu - Wewe Ndiwe Baba Yangu
  • Artist(s): Eunice Njeri

Share: