Chorus / Description :
Asante Yesu, Asante Yesu
Ninakupenda, ninakupenda
Mwaminifu, mwaminifu
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako
Pokea sifa, pokea sifa
Pokea sifa, pokea sifa
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako
Pokea sifa, pokea sifa
Pokea sifa, pokea sifa
Tazama yale Mungu ametenda
Ametimiza ahadi yake ndani yangu
Na sasa mimi nashuhudia
Ya kwamba Mungu wangu mwaminifu
Ya kwamba Mungu wangu anajibu
Ya kwamba Mungu wangu anaweza
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu, mwaminifu
Uombalo utapewa
Utafutalo utaona
Sikio lake si zito
Kusikia ombi lako
Furahia ndani ya Yesu
Mpe ibadi yako
Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu, mwaminifu
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Song Story
Asante Yesu is a new release by one of the top Kenyan gospel artist, Evelyn Wanjiru. The Swahili song means Thank You Jesus, indeed Evelyn & her husband Agundabweni Akweyu have a reason of thanksgiving to God for answering a 10year prayer of struggling with infertility. Evelyn is expecting her first baby after waiting for 10 years, the song is released during her baby shower. The song is an encouragement for all those who have struggled with various issues. God answers prayers to all those who wait on him are like Mt. Zion. The God who answered Hannah's prayers, has answered Evelyn's and will answer yours too.