Chorus / Description :
Kama alitenda Yesterday, atatenda leo
Hajabadilika kamwe
Najua ni muda kabla utabasamu
Huoni matunda ya kazi yako ngumu
Kila siku magoti kwa madhabau
Ila jibu NO mbingu imenyamaza kimya
Karo ya shule na kodi washindwa utaitwa nani
Tena maswali ni mengi mijibu umekosa tu
Ona Yesu anabisha, anasema shida zimekwisha
Roho yako atuisha, Mfungulie
Kama alitenda Yesterday, atatenda leo
Hajabadilika kamwe
Kama alitenda Yesterday, atatenda leo
Hajabadilika kamwe
Anakuona sana vile umekazana sana
Ila bila mafanikio bado anaona tu
Hakuna mbaya anasema ndio hauko pekee yako tu
Mungu si mwanadamu avunje agano lake
Anangoja imani yako atimize neno lake
Lipi gumu kwake hana rekodi ya kushindwa
Fedha ni zake deni atakulipia
Ona Yesu anabisha, anasema shida zimekwisha
Roho yako atuisha, Mfungulie
Kama alitenda Yesterday, atatenda leo
Hajabadilika kamwe
Kama alitenda Yesterday, atatenda leo
Hajabadilika kamwe
Weka imani yako juu, juu sana
Tena ongeza matendo, matendo ooh
Mungu anaona kazi yako
Mungu anaona bidii yako
Weka imani yako juu sana
Ona Yesu anabisha, anasema shida zimekwisha
Roho yako atuisha, Mfungulie
Kama alitenda Yesterday, atatenda leo
Hajabadilika kamwe
Kama alitenda Yesterday, atatenda leo
Hajabadilika kamwe