Chorus / Description :
Baba naomba kibali Chako, kibali Chako
Yesu naomba ushirika Wako, ushirika Wako
Masiha naomba kibali Chako, kibali Chako
Kibali Chako, kibali Chako
Kwa uimbaji wangu, kibali Chako
Kibali Chako, kibali Chako
Kwa huduma yangu, kibali Chako
Baba naomba kibali Chako, kibali Chako
Yesu naomba ushirika Wako, ushirika Wako
Masiha naomba kibali Chako, kibali Chako
Kibali Chako, kibali Chako
Kwa uimbaji wangu, kibali Chako
Kibali Chako, kibali Chako
Kwa huduma yangu, kibali Chako
Nishikilie nisianguke Baba
Natamani nikae na wewe maishani
Ninapoimba uwepo wako ushuke Baba
Nisiwe na kiburi ndani yangu nitumie Baba
Kama ndabihu iliyosafi mbele Zako, nitumie Yesu
Naona mbingu zikifunguka katika kuabudu
Naona sifa zikitanda dunia yote
Naona mbingu zikifunguka katika kuabudu
Naona sifa zikitanda dunia yote
Najitoa kama dhabihu nitumie Baba
Wewe ni mwema sana umetukuka, hakuna kama Wewe
Wewe ni mwema sana umetukuka, hakuna kama Wewe
Nishikilie nisianguke Baba
Ukiniacha nitamezwa na dunia
Naomba unishikilie wokovu wangu
Naomba unishikilie imani yangu
Achilia kibali chako ndani yangu
Achilia uwepo wako ndani yangu
Achilia ushindi wako juu yangu
Achilia amani yako juu yangu
Achilia kibali chako ndani yangu
Achilia uwepo wako ndani yangu
Baba naomba kibali Chako, kibali Chako
Yesu naomba ushirika Wako, ushirika Wako
Masiha naomba kibali Chako, kibali Chako
Kibali Chako, kibali Chako
Kwa uimbaji wangu, kibali Chako
Kibali Chako, kibali Chako
Kwa huduma yangu, kibali Chako