Chorus / Description :
Wewe ni Mungu wa Miungu, Simba wa Yuda
Mfalme wa wafalme, ni lipi likushindalo?
Wewe ni Mungu wee, Simba wa Yuda
Alfa na Omega ni lipi likushindalo?
SMS SKIZA 9045454 TO 811
Wewe ni Mungu wa Miungu, Simba wa Yuda
Mfalme wa wafalme, ni lipi likushindalo?
Wewe ni Mungu wee, Simba wa Yuda
Alfa na Omega ni lipi likushindalo? .
Wewe ni Mungu wee, kabila la simba wa Yuda
Wewe ni Mungu wee ni lipi likushindalo?
Mwanzo tena mwisho Mungu wa Israeli
Wewe ni Mungu Baba ni lipi likushindalo? .
Yesu wee, uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe
Yesu wee, uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe
Simba wa kabila la Yuda
Uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe .
Mawimbi yanasikiliza sauti yako
Upepo unatii sauti yako
Hata bahari inaheshimu sauti yako
Wewe ni Mungu wee ni lipi likushindalo .
Utukufu wako sigusii
Nashuka chini uiniliwe Yesu
Sigusii nashuka chini uabudiwe
Wewe ni Mungu na utabaki Mungu
Oh Yesu ni lipi likushindalo? .
Yesu wee, uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe
Yesu wee, uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe
Mfinyanzi wa roho yangu
Uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe
Mlinzi wa roho yangu
Uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe .
Mbele yako naleta mambo
Mbele yako nako naleta sifa zako
Wacha sifa hizi zikubalike mbele zako
Maabudu weyakufikikie Mungu wangu
Maombi yangu yasikike mbele zako
Yasikiwe kelele mbele zako
Bali manukato mbele zako
Sifa hizi zote ni zako
Maabudu haya yote ni yako .
Yesu wee, uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe
Yesu wee, uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe
Yesu wee, uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe
Yesu wee, uhimidiwe ushukuriwe uabudiwe .