Chorus / Description :
Yesu Wee Naomba Nifungue
Yesu Wee eeh Naomba Nifungue
Fungua ndoa zilizofungwa na waganga
Okoa walevi waliofungwa na pombe
Tazama yule tasa, fungue apate mtoto
Nifungue Nifungue Nifungue eeh
Yesu Wee Naomba Nifungue
Yesu Wee Naomba Nifungue
Yesu Wee eeh Naomba Nifungue
Nimefungwa na minyororo ya giza
Nimefungwa na minyororo ya dhambi
Ninazama katika shimo la simba
Ninazama katika shimo la moto
Nimefungwa na madawa ya kulevya
Nimefungwa na pombe na ukahaba
Yesu Wee Naomba Nifungue
Yesu Wee ee we eeh Naomba Nifungue
Yesu We eeh Naomba Nifungue
Kama Danieli ulimwokoa toka shimo la simba
Kama Bartimayo nifungue macho nione
Kama Shadrak, Meshack na Abednego
Ulituma malaika akaja akawaokoa
Ndio maana Daddy naomba unifungue
Ndio maana Yahweh naomba unifungue
Ndio maana Yesu Naomba unifungue
Yesu Wee Naomba Nifungue
Yesu Wee ee we eeh Naomba Nifungue
Yesu We eeh Naomba Nifungue
Fungua ndoa zilizofungwa na waganga
Okoa walevi waliofungwa na pombe
Tazama yule tasa, fungue apate mtoto
Nifungue Nifungue Nifungue eeh
Nifungue Nifungue Nifungue eeh
Nifungue Nifungue Nifungue eeh
Yesu Wee Naomba Nifungue
Yesu Wee Naomba Nifungue
Yesu Wee eeh Naomba Nifungue