Juu Yako Bwana Naishi Lyrics

Umenilinda na kunihifadhi
fadhili zako za milele
ni ju yako Bwana mi naishi

Umenilinda kwa mishale ya kifo
fadhili zako za milele
ni ju yako Bwana ninaishi

Umenilinda kwa mikosi yoyote
fadhili zako za milele
ni ju yako Bwana ninaishi

Pokea sifa zote na utukufu
Heshima na uweza ni zako Bwana
Haulinganishwi na chochote
fadhili zako za milele
Ni ju yako Bwana ninaishi

Gongo lako na fimbo yako
yanifariji mimi
Ni ju yako Bwana mi naishi
Waandaa meza mbele ya watesi wangu
Ni ju yako Bwana mi naishi
Nipitapo kwenye uvuli wa kifo
wewe huniachi baba
Ni ju yako Bwana mi naishi

Pokea sifa zote na utukufu
Heshima na uweza ni zako Bwana
Haulinganishwi na chochote
fadhili zako za milele
Ni ju yako Bwana ninaishi

Juu Yako Bwana Naishi VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Juu Yako Bwana Naishi:

0 Comments/Reviews