Njia Ya Kweli

By Frank Njuguna

Lyrics

Njia Ya Kweli 

Utukufu na sifa nizako 

Mungu wa miujiza mfalme wa majira yote 

Njia ya kweli na uzima ni wewe 


Utukufu na sifa ni zako 

Mungu wa miujiza mfalme wa majira yote 

Njia ya kweli na uzima ni wewe 


Wewe pekee njia ya ukweli 

Wewe pekee njia ya uzima 

Jemedari wa vita ukashinda kifo 

Jemedari wa vita kasema yote yamekwisha 


Wewe pekee njia ya ukweli 

Wewe pekee njia ya uzima 

Jemedari wa vita ukashinda kifo 

Jemedari wa vita kasema yote yamekwisha 


Niko huru 

Yesu nakwamini nimekuona thabiti 

Yesu Yesu uthamani ahadi zako kweli x2

Kweli