Gloria Muliro - Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu

Chorus / Description : Ingelikuwa mungu anauliza mwanadamu
Jinsi ya kumtendeaaa mwanadamu
Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo,ata tena ninsingekuwa mahali nilipo
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale baba oooh
Unabariki unayependa, unabariki unavyopenda
Mimi nahitaji eeeh

Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Ninataka ndio ooh yako yesu tu
Ndio yako ndio itanisimamisha
Ndio yako itanifungulia milango

Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu Lyrics

Ingelikuwa mungu anauliza mwanadamu
Jinsi ya kumtendeaaa mwanadamu
Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo,ata tena ninsingekuwa mahali nilipo
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale baba oooh
Unabariki unayependa, unabariki unavyopenda
Mimi nahitaji eeeh

Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Ninataka ndio ooh yako yesu tu
Ndio yako ndio itanisimamisha
Ndio yako itanifungulia milango

Hakuna sikio lenye funiko jamani
Wala sijaona jicho lenye pasia
Adui zako wangelikuwa na uwezo
Wangefunga macho,wangefunika masikio
Wasikuone ukiwa juu,wasisikie umebarikiwa
Meza utaandaliwa mbele yao
Utakula, utakunywa mbele yao
Nasema ndio ndio ya bwana

Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Ninataka ndio ooh yako yesu tu
Ndio yako ndio itanisimamisha
Ndio yako itanifungulia milango

Eeeh yesu usiposema ndio, mali yangu akili zangu hazitaweza
Wanasema sema ndio, yatoshaaa

Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Ninataka ndio ooh yako yesu tu
Ndio yako ndio itanisimamisha
Ndio yako itanifungulia milango

Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu Video

  • Song: Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu
  • Artist(s): Gloria Muliro


Share: