Reuben Kigame - Usiku Mtakatifu (Holy Night Swahili)

Chorus / Description : UsiKu mkuu wa kuzaliwa Yesu kristo
Usiku mkuu, Usifu mtakatifu
Usiku mtakatifu nyota zameremeta
Ni usiku wa uzawa wa mwokozi

Usiku Mtakatifu (Holy Night Swahili) Lyrics

Usiku mtakatifu nyota zameremeta 
Ni usiku wa uzawa wa mwokozi 
Dunia yote wanamtukuza *
Hadi Yesu akaja kutukomboa aah 
Tuna hili la kusimulia kote 
Utukufu wake wachoza 
Tu tushujudu sikia malaika .

UsiKu mkuu wa kuzaliwa Yesu kristo 
Usiku mkuu, Usifu mtakatifu  .

Kweli ametufunza sote kupendana 
Injili yake ni amani 
Minyororo yote ya utumwa imevunjwa 
Kwa jina lake tutapata uhuru 
Tenzi tamu kwa pamoja twainua 
Tumsifu kwa roho zetu zote eeh  .

Yesu ni mwema na milele tumsifu 
Tutangaze utukufu uweza na utukufu wake 
Tutangaze uweza na utukufu wake 
Tusujudu sikia malaika  .

Usiku mkuu wa kuzaliwa Yesu kristo 
Usiku mtakatifu  .

Notes
In 1847, Adolphe Adam wrote "O Holy Night" without knowing that it would become one of the greatest Christmas carols to be sang all over the world. He, certainly, did not know that in November, 2017 Reuben Kigame would celebrate his composition by translating the song into Kiswahili. We release this song to help the Swahili-speaking congregations around the world to sing the song with a new affection. We pray that what happened on that first Christmas night will well up in every heart afresh and remind us that God so loved the world that He gave His only begotten son so that WHOSOEVER believes should not perish but have everlasting life. Mr Kigame would love to hear from you in case you wish to make a commitment to believe in the Christ...In this video, Mr. Kigame collaborates one more time with Gloria Muliro but also involves the choir from St. Cecilia Catholic Church, Majengo, Eldoret, Kenya.

Usiku Mtakatifu - Reuben Kigame & Gloria Muliro

  • Song: Usiku Mtakatifu (Holy Night Swahili)
  • Artist(s): Reuben Kigame + Gloria Muliro


Share: