Godwill Babette - Mungu Mzuri

Chorus / Description : Upendo wako haulinganishwi kamwe na lolote
Na, gongo lako lanifariji mimi kila saa

Mungu Mzuri Lyrics

Upendo wako haulinganishwi kamwe, na lolote
Na, gongo lako lanifariji mimi, kila saa.

Mkono wako uko juu yangu, umenizingira nyuma na mbele.
Napaa juu kama tai, na maamlaka zaidi ya ndege.

Mungu wewe ni mzuri, mzuri, mzuri Sana
Mungu wewe ni mwema, mwema, mwema kwangu

Mungu Mzuri Video

  • Song: Mungu Mzuri
  • Artist(s): Godwill Babette

Share: