Chorus / Description :
Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh
Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh
Nani wa kufanana nawe Mungu wa Israeli
Wa Kupenda na kuchua ni wewe Jehovah ah
Umenifanya mrithi wa kusudi wa wema wako kabisa
Namtumianie nani yeye eh ila Ebenezer
Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh
Na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi
Tena bado unanizingatia na kunipa tumaini
Nafsi yangu nakupatia nifinyange
Nitalinda moyo wangu huu uu ukufwate
Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh
Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni natoa
Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni natoa
Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni mwangu natoa
Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh