Chorus / Description :
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Hallelujah Haleluya amen
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako oh
Kama vile jina, ina nguvu leo na milele
Limeinu- limeinuliwa neno lako oh
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Oh Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Linazidi nguvu kuta za Yeriko
Linaamuru maji kutoka mawe jangwani
(Hili neno lako limeinuliwa)
Limebeba neema ya waliosaulika
Linajibu maombi iliyopita kutarajiwa
(Neno lako umesema)
Haleluya amen oh
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Unasema unatenda tutazame tukusifu
Unasema unatenda tutazame tukusifu
Lime-inuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo na milele