Chorus / Description :
Tunakusujudia
Umetukuka enzini
Wastahili kusifiwa
U Mungu pekee Adonai
Wastahili kusifiwa
U Mungu pekee Adonai
Tunakusujudia
Umetukuka enzini
Tunakusujudia
Umetukuka enzini
Tunakusujudia
Umetukuka enzini
Tunakusujudia
Umetukuka enzini
Baba watawala enzini
Hakuna Mungu kama wewe
Baba watawala enzini
Hakuna Mungu kama wewe
Tunakusujudia
Umetukuka enzini
Tunakusujudia
Umetukuka enzini
Wewe ndiwe Bwana wa Bwana
Wewe ndiwe Bwana wa Bwana
Mungu kama wewe (hakuna)
Mungu kama wewe (hakuna)
Mungu kama wewe (hakuna)
Tunakusujudia
Umetukuka enzini
Wastahili