Chorus / Description :
Nikitembea naona baraka
Ooh kupona naona
Umeshinda Yesu
Nikitembea naona baraka
Ooh kupona naona
Umeshinda Yesu
Nikitembea naona baraka
Ooh kupona naona
Umeshinda Yesu
Umefanya mengi yaliyo ju ya fahamu zetu
Ya kushindwa mtu kukautwa utukufu mku
Si wa mashaka, si wasiwasi
Ukishatenda inabadi kuwa ushuhuda mkuu
Yale umefanya yamebadilisha na majina yetu
Toka kuchekwa umeweka kicheko
Waganga walitutesa hawakuweza kutuponya
Daktari alishasema vita kwamba imeshindikana
Ila kwa damu ya dhamani ya Yesu umeturejesha
Na nimeona oh nimeona umeshinda
Nikitembea (naona) baraka
Ooh kupona (naona)
Umeshinda Yesu
(*3)
Yesu Yesu Yesu
Jina lako ni tamu
Hata kama gumu
Bado jina ni tamu
Inatoa magonjwa (Yesu)
Kiboko ya uchawi (Yesu)
Fufua na wafu (Yesu)
Tetemesha ardhi (Yesu)
Inapasua miamba (Yesu)
Vunja ngome kuzimu (Yesu)
Wewe ni Mungu
Mara mi ni kimya *
Maana yeye ni mfalme
Dunia nzima yatii
Hakuna wa kumpinga
Tuna ujasiri (Yesu)
Anatawala Jemedari wa vita
Yeye ndiye ni simba wa Yuda
Oh asante (naona)
Kupona (naona)
Naona umeshinda Yesu
Kwa macho nimeona watu wakitendewa miujiza
Kwa macho nimeona watu wakifunguliwa vifungo
Kwa macho nimeona watu wakitendewa miujiza
Kwa macho nimeona watu wakifunguliwa vifungo
...