Chorus / Description :
Yahweh watenda mema
Utendavyo vinashangaza
Nilikusikia sasa nakungoja
Utendavyo vinashangaza
Neema yako ni ya pekee
U mwaminifu Bwana kwa ahadi yako
Utendavyo vinashangaza
Neema yako ni ya pekee
U mwaminifu Bwana kwa ahadi yako
Umepigana vita vingi Yesu
Sijasikia umeshindwa hata moja
Umepigana vita vingi Yesu
Sijasikia umeshindwa hata moja
Mtakatifu Bwana ewe
Yahweh watenda mema
Utendavyo vinashangaza
Nilikusikia sasa nakungoja
Yahweh watenda mema
Utendavyo vinashangaza
Nilikusikia sasa nakungoja
We ni Yahweh, We ni Yahweh
Yahweh eeh eeeh ...